This is the supplier profile page of CEREALS AND OTHER PRODUCE BOARD-IRINGA, where buyers can explore products, connect directly with the supplier for pricing inquiries.

CEREALS AND OTHER PRODUCE BOARD-IRINGA – company logo, company info header

Add Favorite

|

Report Supplier

|
This business has not been verified yet.
If you are the business owner, verify now to manage this profile and connect with verified buyers. Verify Now

Business Description

Quality Crops, Right Source, Value Addition.

Kikao cha sita (6) cha Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko (CPB), kimefanyika leo tarehe 15 Machi 2024 jijini Dodoma, kikiongozwa na M/kiti wa Bodi ya Wakurugenzi Ndg. Salum Awadh Hagan kujadili masuala mbalimbali ya kiutendaji.

Matukio mbalimbali wakati Timu ya Watalaamu kutoka Kampuni ya Hifadhi ya Chakula (SONAGESS) kutoka nchini Burkina Faso wakiwa na Maafisa wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Chakula Duniani (WFP) walipotembelea Ofisi za Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko (CPB) ili kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa kwa lengo la kujifunza mbinu bora za uendeshaji.

Bidhaa za Nafaka za NGUVU zenye Ubora Halisi katika muonekano mpya.

Bidhaa za Nafaka za NGUVU zenye Ubora Halisi katika muonekano mpya.

Picha ya Pamoja ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Wenyeviti wa Bodi, ambapo M/kiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya CPB Ndg: Salum Awadh Hagan (wa kwanza kulia walio simama) ni Mmoja wa Wenyeviti Walio hudhuria Kikao Kazi Hicho Kilichofunguliwa na Mhe. Rais Dkt. Samia, Agosti Jijini Arusha.

Bidhaa za Nafaka za NGUVU zenye Ubora Halisi katika muonekano mpya.

Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko (CPB) Bw Salum Awadh akiwa na baadhi ya viongozi wa CPB pamoja na wadau mara baada ya kikao kilichofanyika Iringa.

Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko (Cereals and Other Produce Board – CPB) ilianzishwa kwa Sheria ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko Na. 19 ya mwaka 2009.Tofauti na Bodi nyingine za mazao ambazo huwa na jukumu la kusimamia zao/ mazao, Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko imepewa jukumu la kufanya biashara ya nafaka na mazao mengine ili kumwezesha mkulima kupata soko la uhakika na bei shindani ya mazao yake. Vilevile, Bodi ina jukumu la uendelezaji katika sekta ya nafaka na mazao mengine...

SIKU YA NAFAKA VIWANJA VYA NANE NANE DOD...

BEI YA MAZAO KWA VITUO VYA UNUNUZI VYA C...

BEI YA MAZAO KWA VITUO VYA UNUNUZI VYA C...

BEI YA MAZAO KWA VITUO VYA UNUNUZI VYA C...

BEI YA MAZAO KWA VITUO VYA UNUNUZI VYA C...

Huduma ya Uhifadhi wa Mazao

Usagishaji wa Mazao ya Nafaka

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Business Overview

Avg Response Time

≤ 1h

In African agri-trade, local boards like CEREALS AND OTHER PRODUCE BOARD-IRINGA often act as key distributors linking farmers to regional and international buyers. Being based in Iringa, Tanzania, it has access to one of the country's main agricultural zones, which supports reliable supply of staple crops. The lack of verified phone, work email, documents, or account email raises concerns about direct contact and legitimacy — buyers should verify these details before placing large orders. Without clear verification, it's harder to confirm the board's real-time availability or responsiveness to inquiries. This makes due diligence essential when engaging with such entities. Buyers may need to rely on third-party references or local partners to confirm the board's operational status and product consistency.

Trade Capabilities

Business Terms

Preferred Payment Term:

Not specified

Preferred Trade Term:

Not specified

Port Of Loading:

Not specified

Accepted Currency:

USD

Trade Ability

Annual Revenue Amount:

Not specified

Numbers Of Employees:

Not specified

Avg Response Time:

-

Supplier sign-up – promo banner, free supplier page sidebar